MATREKTA MAPYA YAWASILI, TUTEMBELEE KATIKA OFISI ZETU ZILIZOPO MWENGE |
Monday, July 21, 2014
Sunday, June 22, 2014
Maonyesho ya SabaSaba
SUMAJKT Kushiriki Maonyesho ya 38 ya Kimataifa ya SabaSaba
SUMAJKT linawakaribisha wateja wake wote kutembelea banda lao litalokuwa na bidhaa nzuri na zenye ubora wa Kuaminika.
Blogu hii inakuletea matukio mbalimbali kutoka viwanja hivyo vya sabasaba vya mwalimu Nyerere. Karibuni Sana!

Karibu
Karibu katika blogu ya Shiria la Uzalishaji Mali la JKT (SUMAJKT)
Shirika la Uzalishaji Mali la JKT (SUMAJKT) linajumuisha Kampuni tanzu mbalimbali zinazo endesha miradi mbalimbali ya kibiashara.
UJENZI NA UHANDISI
Baadhi ya Miradi iliyotekelezwa na SUMAJKT kama inavyoonekana katika picha
Shirika la Uzalishaji Mali la JKT (SUMAJKT) linajumuisha Kampuni tanzu mbalimbali zinazo endesha miradi mbalimbali ya kibiashara.
UJENZI NA UHANDISI
- Shirika limesajiliwa kama Kandarasi daraja la kwanza Ujenzi
Baadhi ya Miradi iliyotekelezwa na SUMAJKT kama inavyoonekana katika picha
- SUMAGUARD NI KAMPUNI TANZU YA SUMAJKT INAYOJISHUGHULISHA NA ULINZI
- KIWANDA CHA SAMANI CHAN'GOMBE
Bidhaa za Samani tayari kwa Masoko
Bidhaa za Samani tayari kwa Masoko
Bidhaa za Samani tayari kwa Masoko
Bidhaa za Samani tayari kwa Masoko
- KILIMO CHA KISASA
Baadhi ya Mashamba yanayoendeswa na SUMAJKT
Baadhi ya Mashamba yanayoendeswa na SUMAJKT
Vitunguu tayari kwaajili ya Masoko
- UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI NA NYAMA RUVU
Vijana wakiokota mayai
Ufungaji wa Ngombe wa Nyama na Maziwa
Subscribe to:
Posts (Atom)