Sunday, June 22, 2014

Maonyesho ya SabaSaba

SUMAJKT Kushiriki Maonyesho ya 38 ya Kimataifa ya SabaSaba




SUMAJKT linawakaribisha wateja wake wote kutembelea banda lao litalokuwa na bidhaa nzuri na zenye ubora wa Kuaminika.
Blogu hii inakuletea matukio mbalimbali kutoka viwanja hivyo vya sabasaba vya mwalimu Nyerere. Karibuni Sana!

Karibu

Karibu katika blogu ya Shiria la Uzalishaji Mali la JKT (SUMAJKT)

Shirika la Uzalishaji Mali la JKT (SUMAJKT) linajumuisha Kampuni tanzu mbalimbali zinazo endesha miradi mbalimbali ya kibiashara.

UJENZI NA UHANDISI


  • Shirika limesajiliwa kama Kandarasi daraja la kwanza Ujenzi


Baadhi ya Miradi iliyotekelezwa na SUMAJKT kama inavyoonekana katika picha




  • SUMAGUARD NI KAMPUNI TANZU YA SUMAJKT INAYOJISHUGHULISHA NA ULINZI







  • KIWANDA CHA SAMANI CHAN'GOMBE




Bidhaa za Samani tayari kwa Masoko



Bidhaa za Samani tayari kwa Masoko


Bidhaa za Samani tayari kwa Masoko


Bidhaa za Samani tayari kwa Masoko




  • KILIMO CHA KISASA


Baadhi ya Mashamba yanayoendeswa na SUMAJKT


Baadhi ya Mashamba yanayoendeswa na SUMAJKT


Vitunguu tayari kwaajili ya Masoko


  • UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI NA NYAMA RUVU


Vijana wakiokota mayai

Ufungaji wa Ngombe wa Nyama na Maziwa