Wednesday, November 11, 2015

Rais JAKAYA KIKWETE AZINDUA MRADI WA KUSAGA KOKOTO NYEUSI-SUMAJKT-PONGWE MSUNGURA

Rais JAKAYA KIKWETE amezindua mradi wa kusaga kokoto nyeusi unaotekelezwa  kwa ubia kati ya Shirika la SUMA JKT na Kampuni ya ANIT ASFALT ya nchini UTURUKI uliopo Pongwe-Msungura wilaya ya BAGAMOYO mkoani PWANI. Mradi huo wenye thamani ya shillingi bilioni 5.6  unatarajiwa  uendeshwe kibiashara na kutoa ajira pamoja kuchangia pato la taifa. Rais KIKWETE amewataka watendaji wake kuwa wabunifu ili kuhakikisha lengo hilo linafikiwa. Ameitaka kampuni hiyo kufanya kazi zake kisasa huku wakizingatia utunzaji wa mazingira.

Watch video.
 

 

 

No comments:

Post a Comment